sts_bs("JWS",[20080623,"Image/Miaka50/Miaka50-small/","","blank.gif",0,1,1,5,"190px","left",0,0,190,115,1,120,1,0,0,10000,1,24,2,"progid:DXImageTransform.Microsoft.RandomBars(orientation=vertical,enabled=0,Duration=0.50)",22,60],["ItBS","ItBW","ItBC","GBgC","GBgI","GBgR"]);
sts_til([0,"SHEREHE ZA \r\nMIAKA 50 YA UHURU \r\n","center"],["F","FC","FD","BgC","BgI","BgR"]);
sts_sbd([0],["GBS","GBW","GBC","GCnSz","GLtCn","GRtCn","GRbCn","GLbCn","GTBgC","GTBgI","GTBgR","GRiBgC","GRiBgI","GRiBgR","GBtBgC","GBtBgI","GBtBgR","GLBgC","GLBgI","GLBgR"]);
sts_tbd([1],["BS","BW","BC","CnSz","LtCn","RtCn","RbCn","LbCn","TBgC","TBgI","TBgR","RiBgC","RiBgI","RiBgR","BtBgC","BtBgI","BtBgR","LBgC","LBgI","LBgR"]);
sts_ai("i0",[0,"Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa CHC, Bw. Dome Malosha, akifurahia ushindi katika maonyesho ya sherehe za miaka 50 ya Uhuru.  Kulia kwake ni Waziri wa Fedha, Mhe. Mustafa H. Mkulo (Mb).  Kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Pereira Silima (MB) na kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Bwana Laston Msongole.  CHC ilikuwa mshindi wa kwanza katika maonyesho hayo.","","_self","DSC01873.jpg",172,115,"center"],["ItBgC","OtF","OtFC","OtFD","OvF","OvFC","OvFD"],"i0","i0");
sts_ai("i1",[,"Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Gregory Teu (MB) akikaribishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa CHC, Bwana Dome Malosha kwenye banda la maonyesho wakati wa sherehe za miaka 50 ya Uhuru katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es salaam.\r\n\r\n",,,"DSC01917.jpg"],[],"i0","i0");
sts_ai("i2",[,"Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa CHC, Bwana Dome Malosha, (wa kwanza kulia) pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa shirika wakijiandaa kwa maandamano ya kusherehekea miaka 50 ya Uhuru yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kutoka Uwanja wa Taifa hadi kwenye Klabu ya Kampuni ya Sigara, Chang’ombe, Dar es salaam.",,,"DSC01478.jpg"],[],"i0","i0");
sts_ai("i3",[,"Maandamano ya kusherehekea miaka 50 ya Uhuru yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kutoka Uwanja wa Taifa hadi Klabu ya Kampuni ya Sigara, Chang’ombe Dar es salaam.",,,"DSC01500.jpg"],[],"i0","i0");
sts_ai("i4",[,"Wafanyakazi wa CHC wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Waziri wa Fedha, Mhe. Mustafa Mkulo (MB) (hayupo kwenye picha) baada ya maandamano ya sherehe za miaka 50 ya Uhuru.",,,"DSC01581.jpg"],[],"i0","i0");
sts_ai("i5",[,"Baadhi ya wananchi waliotembelea banda la CHC wakati wa maonyesho ya miaka 50 ya Uhuru wakipata maelezo kuhusu shughuli za Shirika.  Maonyesho hayo yalifanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.",,,"DSC01727.jpg"],[],"i0","i0");
sts_ai("i6",[,"Wafanyakazi wa CHC wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa Tamasha la Michezo lililoandaliwa na Wizara ya Fedha kusherehekea miaka 50 ya Uhuru katika viwanja vya Klabu ya Kampuni ya Sigara, Chang’ombe, Dar es salaam.",,,"DSC01353.jpg"],[],"i0","i0");
sts_es();

