News & Events Overview
  SHREHE ZA MIAKA 50 KWENYE PICHA . Habari zaidi...
 

HAFLA YA KUUAGA MWAKA 2010 YAFANA. Habari zaidi...

 

CHC YATOA MADA KWA MAAFISA WA SERIKALI. Habari zaidi...

 

WAFANYAKAZI WA CHC WAPATA ELIMU YA KUPUNGUZA MSONGO WA MAWAZO (STRESS MANAGEMENT). Habari zaidi...

 

USHIRIKI WA CONSOLIDATED HOLDING CORPORATION (CHC) KATIKA MAONYESHO YA WAKULIMA YA NANE NANE VIWANJA VYA NZUGUNI; MJINI DODOMA TAREHE 1/8-08-2010. Habari zaidi...

 

USHIRIKI WA CONSOLIDATED HOLDING CORPORATION (CHC) NDANI YA SABASABA KATIKA PICHA. Habari zaidi...

 

CHC YATOA ELIMU KWA WANAFUNZI

HIVI karibuni wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nzasa Wilayani Temeke walitembelea makao ya  Shirika  la Consolidated Holding Corporation (CHC), kujifunza masuala  yanayohusu Ubinafsishaji na Urekebishaji wa Mashirika ya Umma. Habari zaidi...

 

BODI YA CHC YAKAGUA MASHAMBA YA MKONGE


BODI ya Wakurugenzi wa Shirika la Consolidated Holding Corporation (CHC) hivi karibuni ilifanya ziara  katika mashamba ya mkonge ya Azimio Kilapora, Mivumoni na Kibaranga yaliyopo katika wilaya ya Muheza mkoani Tanga. Habari zaidi...

 

Shirika la Consolidated Holding Corporation (CHC) hivi karibuni liliandaa tafrija maalum ya kuufunga mwaka 2009 na kuukaribisha mwaka 2010. Taafrija hiyo ilihudhuriwa pia na Waziri wa Fedha na Uchumi, Mhe. Mustafa Haidi Mkulo (MB) na Wajumbe wa Bodi ya Shirika wakiongozwa na Mwenyekiti wake, Prof. Hamisi Ibrahim Mahigi. Tafrija hiyo ilifanyika katika hoteli ya Movenpick jijini Dar es Salaam tarehe 18 Desemba 2009.  Habari zaidi...

 

Consolidated Holding Corporation (CHC) yaandaa mkutano wa wadau kujadili taarifa ya mtaalamu kuhusu kuhitimisha mradi wa Benki ya Dunia kuhusu Ubinafsishaji na Uendelezaji  wa Sekta Binafsi (PPSDP).Habari Zaidi...

Consolidated Holding Corporation yafadhili hafla maalumu kwa heshima ya wajumbe wa mkutano wa 55 wa Chama Cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth Parliamentary Association, CPA) jijini Arusha. Habari zaidi...

Wadau wa Baraza la Ushindani (FCT) Wakutana

Shirika hodhi la Consolidatd Holding Corporation (CHC) hivi karibuni liliwakutanisha  wadau mbalimbali ili  kujadili mapendekezo ya kuanzishwa kwa  mfumo  wa  kuliwezesha  Baraza la Ushindani Kibiashara linalofahamika kwa lugha ya Kiingereza kama  Fair Competition Tribunal-FCT” kuwa na mapato endelevu kifedha ili kuweza kumudu shughuli zake. Habari zaidi...

March 2009 , Court Yard Hotel Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Consolidated Holding Corporation (CHC) tarehe 14 Machi, 2009 walihudhuria semina ya uhamasishaji kuhusu mbinu na mikakati ya kuzuia na kupambana na virusi vya ukimwi.
Habari zaidi ...

18. August 2008, Dar es Salaam
On 18th August, 2008, the government officially launched the sale of 21 percent of its 51 percent shares to the public through an Initial Public Offer (IPO).
Read more...

CHC Board Inaguration

 
29. April 2008, CHC Headquarter Mirambo
CHC Board of Directors inauguration by the Minister for Finance and Economic Affairs Hon. Mustafa Mkulo.
Read more...
 
© 2010 CHC. All rights reserved. For more information please info@chc.co.tz | Disclaimer |Home